HAKIKA YA KUJIBIWA MAOMBI
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 17, 2022
Product Views:
1,394
Sample
Hakika ya Kujibiwa Maombi
Namshukuru Mungu Kwa muongozo mkuu wa Roho Mtakatifu katika kukiandika kitabu hiki, bila shaka sasa kitabu hiki kipo mikononi mwako! Ni kusudi kamili la Mungu kitabu hiki kifike mikononi mwako. Nimekiombea kitabu hiki ili kifanyike Baraka za namna nyingi katika maisha yako na maisha ya watu wanaokuzunguka, kisome kwa imani na hakika hautabaki kama ulivyokuwa. Pia, kitabu hiki ni maalumu kwa kanisa la Mungu kwa ujumla wake, maana ni ujumbe wa neno la Mungu kwa watu wote.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza