Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Maombi Ya Kuvunja Vizuizi - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali
Best Seller

Maombi Ya Kuvunja Vizuizi

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 30, 2021
Product Views:
5,411
In category:
Sample

Tazama tunakwenda kuondoa Vizuizi

Lakini katika kitabu hiki tutazungumzia uzao wa tumbo. Kulingana na somo hili ni muhimu sana kuuombea uzao wako ili yale mafanikio ambayo Mungu ame yakusudia yatokee. Pasipo m aombi ni ngum u sana kuona wewe na uzao wako m Tujifunze kupitia uzao katika Kristo Yesu nafanikiwa. ulivyofanikiwa kwa njia ya maombi. Kihistoria kuna aina mbili za uzao, • • Uzao wa Adamu wa kwanza Uzao wa Adamu wa pili Katika uzao wa adamu wa kwanza, Mungu alikusudia kupitisha Baraka kwaajili ya uzao wao, lakini dhambi ilipo ingia lile lango ambalo ni Adamu wa kwanza likageuka kupitisha l aana badala ya b araka, kwahiyo kupitia dhambi ya Adamu wa kwanza uza wao ukapokea laana badara ya b araka, na kwak uw o a Mungu alikusudia kupitisha b araka kwenda kwenye uzao unaofata ikabidi atafute lango lin gine ambalo linaweza kupitisha b araka ambazo zimeshindwa kupitia kwenye lango la Adamu wa kwanza. Hivyo Mungu akamleta Adamu wa pili ambaye ni Yes u , Yesu akaja kama mz aliwa wa mwisho katika uzao wa Adamu wa kwanza na baada ya kufa alionesha mwisho wa uzao wa Adamu wa kwanza na alifufuka kama mzaliwa wa kwanza katika uzao wa Adamu wa pili. Ukawepo utaratibu wa namna ya kutoka kwenyen uzao wa Adamu wa kwanza unaopitisha l kuingia katika uzao wa A aana na damu wa pili ambao unapitisha Baraka. 3

More Products On Discount
5,000 Tsh. 1,000 Tsh.

Sold by: RAMV MRUMA

7,000 Tsh. 3,000 Tsh.

Sold by: Stan Luwanda

3,999 Tsh. 1,999 Tsh.

Sold by: Daudi Lubeleje

5,000 Tsh. 3,000 Tsh.
(1)

Sold by: Stan Luwanda

25,000 Tsh. 10,000 Tsh.

Sold by: Msafiri Lwihula

More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
Old is Gold