Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Roho Ya Malipizi - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

ROHO YA MALIPIZI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 22, 2022
Product Views:
1,498
In category:
Sample

Roho Ya Malipizi

Maisha ya watu wengi yameshambuliwa na kuharibiwa kwa kiasi kikubwa sana, hata kupelekea hatima za wengi kuharibika kabisa. Pamoja na uharibifu huu kuwepo, bahati mbaya watu wengi hawajafanikiwa kufahamu chanzo cha uharibifu huo kunatokana na nini! Ninamshukuru Mungu kwa kitabu hiki mikononi mwako, kinacho fundisha juu ya roho ya malipizi. Katika kitabu hiki utajifunza; Maana halisi ya roho ya malipizi. Namna roho ya malipizi unavyofanya kazi. Mifano ya watu walioshambuliwa na roho ya malipizi. Namna ya kuishinda roho ya malipizi. Muongozo wa maombi ya vita dhidi ya roho ya malipizi. Ni imani yangu kubwa kwamba; kupitia vipengele hivyo na vingine, mafundisho ya kitabu hiki yatakuwa baraka kubwa sana kwa kanisa la Mungu na kwako.

More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
2,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold