AGANO LA URITHI
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 30, 2021
Product Views:
3,807
Sample
JINSI YA KUVUNJA AGANO LA URITHI LA KIPEPO
Kitabu hiki cha AGANO LA URITHI ni kitabu cha muhimu sana kitakachokusaidia kujiandaa kumiliki Baraka za kiagano pale mauti ya mtu aliyefanya agano katika familia au katika ukoo au katika kanisa anapokufa, lakini pia kinakupa kujua namna ya kuharibu laana za kiagano za kipepo zinapotokea pale mtu anapokufa aliyekuwa katika agano la kishetani. Lengo kubwa ni kukupa mbinu za kuepuka madhara, na kuishi maisha ya ushindi.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza