Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kuuweza Wakati Ujao - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

KUUWEZA WAKATI UJAO

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 28, 2024
Product Views:
55
In category:
Sample

KUUWEZA WAKATI UJAO. Jipatie akili za kujua nini cha kufanya kwa majira ya sasa na yanayokuja

Kila mmoja wetu anayo matamanio ya kuwa mtu fulani hapo baadae na kila mmoja wetu ana malengo, ndoto na maono ambayo anatamani yatimie siku za usoni. Sasa ili kuweza kuyatimiza matamanio yote ambayo unayo ni lazima ujiandae kimwili, kiroho na kiakili kuweza kuwa mshindi katika hayo.

Ukiona mtu yeyote anakuwa mshindi katika majira aliyokuwepo ujue kabisa haikutokea kwa bahati mbaya bali ni matokeo ya maandalizi ya kutosha aliyoyachukua kabla majira hayo ya ushindi hayajafika.

kitabu hiki cha KUUWEZA WAKATI UJAO ni kitabu ambacho kitakufunulia siri na kanuni ambazo zitakusaidia kujiandaa kuwa mshindi katika nyakati zote na katika kila eneo la maisha yako ikiwemo; ndoa, utumishi, biashara, karama na vipaji vyako, uongozi, elimu nk.

Ninaamini kabisa watu wote waliokuwa washindi leo hii waliandaliwa na walijiandaa kuwa washindi hivyo na wewe unayetaka kuwa mshindi kitabu hiki nilichokiandika kitakuandaa na kukupa mbinu za kukufanya kuwa mshindi sasa na nyakati zijazo.

JIPATIE NAKALA NYINGINE KUTOKA KWA PASTOR TONY OSBORN

NGUVU NYUMA YA KUFUNGA NA KUOMBA https://www.getvalue.co/prod/nguvu_nyuma_ya_kufunga_na_kuomba

SILAHA ZA VITA VYETU https://www.getvalue.co/prod/silaha_za_vita_vyetu

MATTERS OF THE BLOOD https://www.getvalue.co/prod/matters_of_the_blood

SIGNS AND TOKENS https://www.getvalue.co/prod/signs_and_tokens

KWAKUA SASA UMEOKOKA https://www.getvalue.co/prod/kuuweza_wakati_ujao

NDOTO UANZOOTA NA UHALISIA WAKE https://www.getvalue.co/prod/ndoto_unazoota_na_uhalisia_wake 

CHRISTIANS IN THE BUSINESS WORLD https://www.getvalue.co/prod/christian_in_business_world

DEALING WITH ADDICTIONS https://www.getvalue.co/prod/dealing_with_addictions

More Products On Discount
98,000 Tsh. 60,000 Tsh.

Sold by: Prophet Pd John

7,000 Tsh. 3,000 Tsh.

Sold by: Stan Luwanda

7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

5,000 Tsh. 3,000 Tsh.
(1)

Sold by: Stan Luwanda

7,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Stan Luwanda

5,000 Tsh. 2,500 Tsh.

Sold by: Joyce Mwakajonga

More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
Old is Gold