NGUVU YANDANI KOZI YA SIKU 31
PRODUCT SUMMARY – NGUVU YA NDANII Watu wengi wanapambana na maisha bila kujua kwamba nguvu ya mabadiliko wanayotafuta tayari ipo ndani yao. Changamoto si kukosa uwezo, bali ni kukosa mwongozo wa kuamsha na kutumia “Nguvu ya Ndani” kwa njia sahihi.Kitabu hiki ni program ya mabadiliko ya siku 31 iliyoundwa kukusaidia kujijenga kiakili, kiimani na kitabia. Kupitia masomo 31 ya hatua kwa hatua, utajifunza jinsi ya kuondoa hofu, kuvunja vikwazo vya ndani, na kujenga nidhamu na mtazamo mpya wa mafanikio.\\r\\nNdani yake kuna 176 pages za mafunzo ya kina, maswali ya kujitathmini na mazoezi ya vitendo yanayokusaidia kutafsiri maarifa kuwa mabadiliko halisi ya maisha.Hiki si kitabu cha kusoma tu,ni safari ya kujigundua upya na kuamsha uwezo ulio ndani yako ili kuanza kuishi maisha yenye mwelekeo, uthabiti na mafanikio ya kweli. Acha kuishi chini ya uwezo wako. Amsha Nguvu ya Ndani leo.
PRODUCT DESCRIPTION – NGUVU YA NDANI
Kila mtu ana nguvu ya ndani ya kubadilisha maisha yake… swali ni moja: kwa nini wewe bado hujaanza kuitumia?
Watu wengi wanaishi maisha ya kujitahidi kila siku bila kuona mabadiliko ya kweli. Wanapambana na hofu, shaka binafsi, kukata tamaa na changamoto za maisha, bila kujua kwamba tatizo si kukosa uwezo bali ni kutokujua jinsi ya kuamsha na kutumia nguvu iliyokwisha kuwa ndani yao.
Kitabu hiki, “Nguvu ya Ndani”, ni program ya mabadiliko ya siku 31 iliyoundwa kukusaidia kujijenga upya kiakili, kitabia na kimtazamo ili uanze kuishi maisha yenye mwelekeo na mafanikio ya kweli.
Kupitia masomo 31 ya hatua kwa hatua, utajifunza jinsi ya:
Kuondoa hofu, shaka binafsi na fikra zinazokuzuia
Kujenga nidhamu imara ya fikra na tabia
Kuvunja vikwazo vya ndani vinavyokuzuia kusonga mbele
Kuimarisha imani, uthubutu na uwezo wa kuchukua hatua
Ndani ya kitabu hiki kuna 176 pages za mafunzo ya kina, zikiwemo Maelezo rahisi na ya kueleweka
Maswali ya kujitathmini (self-reflection questions)
Mazoezi ya vitendo ya kila hatua ya mabadiliko
Hii inamaanisha hutapokea maarifa tu ila utapata mwongozo wa vitendo unaokusaidia kubadilisha kile unachojua kuwa matokeo halisi ya maisha yako.
Hiki si kitabu cha kawaida cha kusoma na kuweka pembeni. Ni safari ya mageuzi ya ndani inayokusaidia kujitambua upya, kuamka kiakili na kuanza kuishi maisha yenye nguvu, uthabiti na mafanikio ya kweli.
Acha kuishi chini ya uwezo wako.
Acha kusubiri mabadiliko ya nje.
Amsha Nguvu ya Ndani yako leo na anza safari ya maisha mapya.
Sold by: Godius Rweyongeza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza