Niandike Juu Ya Nini : Maeneo 12 Ya Kutumia Kuandika Vitabu Vitakavyouzika Sokoni Kwa Kasi
Ndani ya hiki kitabu nimekutobolea SIRI YA MAENEO 13 AMBAYO UKIYAANDIKIA KITABU/VITABU kamwe HAUWEZI UKAKOSA SOKO - Yaani, wateja wa kuvinunua kwa kasi.
Ikiwa unahamu ya kuandika kitabu chako cha kwanza, au cha pili, au cha tatu, n.k... Lakini HAUJUI UANDIKE JUU YA NINI ; yaani Kitabu kinachohusu nini, basi majibu yote yapo ndani ya hiki kitabu cha Softcopy cha shilingi 3,000 Tu - kwa ofa Ya sasa.
Ndani ya hiki kitabu nimekutobolea SIRI YA MAENEO 13 AMBAYO UKIYAANDIKIA KITABU/VITABU kamwe HAUWEZI UKAKOSA SOKO - Yaani, wateja wa kuvinunua kwa kasi.
Haijalishi utaamua kuviuza kwa softcopy (watu wajisomee kwa simu zao au tableti na laptop) au hardcopy (nakala Ngumu)... HAUTAKOSA SOKO. NI MAENEO NYETI YENYE SOKO LA UHAKIKA.
Yaani,
\\\\\\\"MAMBO YOTE YALIYOKUWA YANANINUFAISHA NIMEAMUA KUKUWEKEA HADHARANI NAWE UNUFAIKE\\\\\\\"
Wahi ofa hii kabla haijaisha Ndani ya saa 24 Tu!
BONYEZA KITUFE KILIANDIKWA \\\\\\\"BUY NOW\\\\\\\" HAPO JUU KULIPIA HIKI KITABU, KUKIPAKUA NA KUANZA KUJISOMEA KWENYE SMARTPHONE YAKO SASAHIVI.
By LACKSON TUNGARAZA
Mwandishi wa vitabu zaidi ya 15
Na mwanzilishi wa @lamaxdesigns