Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Siri Ya Mafanikio Ya Biashara Duka La Rejareja - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

SIRI YA MAFANIKIO YA BIASHARA: DUKA LA REJAREJA

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Mar 12, 2023
Product Views:
136
In category:
Sample

SIRI YA MAFANIKIO YA BIASHARA, DUKA LA REJAREJA; Ingawa duka ndiyo limebeba jina la kitabu, siyo kwamba kinaeleza tu kila kitu kuihusu biashara ya Duka hapana, bali ni kila biashara ya rejareja kubwa na ndogo.

Ni biashara inayofanywa na watu wengi zaidi mijini na hata vijijini, zaidi ya asilimia 75% ya biashara zote jijini Dar es salaam ni biashara za rejareja hasa maduka. Uanzishaji wake ni rahisi usiohitaji mtaji mkubwa, ni kimbilio la walio wengi lakini Je, ili ufanikiwe unazijua mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia? Ungana na mtunzi wa kitabu hiki kujua siri  walizopitia wale unaowaona wakimiliki maduka makubwa ya rejareja mjini na kwingineko kote.

Utapata pia fursa ya Kufahamu njia rahisi sana na mifumo ya kudhibiti stoku na hesabu zako kuzuia mfanyakazi nau msaidizi wako asikuibie wala kufanya hujuma yeyote faida na mtaji vikabakia vilevile mpaka siku ya kupiga mahesabu. Njia na mifumo hiyo siyo lazima utumie nkompyuta hapana, hata daftari la kawaida tu na kalamu vinatosha.

Mwandishi anakupa uzoefu wake binafsi wa biashara hii ndani ya kitabu kwa picha za rangi alizopiga hatua mbalimbali toka anaanza moja biashara yake Kariakoo mpaka anaajiri mfanyakazi. Utayafahamu mambo mengi ya kushangaza kuhusu haya maduka ya rejareja kuanzia chumaulete, mbinu za kuvutia wateja za kienyeji na hata zile za kisayansi.

More Products On Discount
25,000 Tsh. 20,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

15,000 Tsh. 10,000 Tsh.

Sold by: Denis Jonas Msangi

Best Sellers List
Best Seller
100,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(36.4)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

Best Seller
10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PIUS JUSTUS

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PIUS JUSTUS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

5,000 Tsh.

Sold by: Counselor David

Old is Gold