ULIMI
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 26, 2026
Product Views:
13
Sample
Badilisha maneno yako,Badilisha Maisha yako.
ULIMI – Una una nguvu ya kujenga au Kubomoa Maisha yako .Kila siku tunazungumza.Lakini si kila siku tunafikiria nguvu iliyoko kwenye maneno yetu.Ndoa zimevunjika kwa sababu ya maneno.Biashara zimeanguka kwa sababu ya maneno.Ndoto zimekufa kwa sababu ya maneno.
Lakini pia…Mahusiano yamepona kwa maneno.
Vijana wamepata matumaini kwa maneno.
Maisha yamebadilika kwa maneno.
Kitabu hiki kinakufundisha:
-Jinsi ya kuutumia ulimi wako kujenga heshima na ushawishi au kubomoa
Ulimi wako ni silaha.
Swali……..unaitumia kwa vita au kwa ushindi