Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Usiyo Yajua Kuhusu Ujenzi Wa Nyumba - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Usiyo Yajua Kuhusu Ujenzi Wa Nyumba

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 18, 2025
Product Views:
32
In category:
Sample

Lengo la kitabu hiki ni kuhakikisha unaweza kujua jinsi nyumba bora na za kisasa zinavyo jengwa hii elimu ni muhimu sana kwa kila mtu alie fundi na asie fundi kitabu hiki kimeandokwa kwa lugha ya Kiswahili mambo yote yanayohusu ujenzi.\r\n\r\n#Baada ya ksoma kitabu hiki utaweza kujua yafuatayo___\r\n\r\n1 : Nyumba bora zinavyo kuwa.\r\n\r\n2 : Aina bora ya Bati.\r\n\r\n3 : Utaweza kujenga nyumba imara na ya kudumu.\r\n\r\n4 : Kudhibiti unyevu unaosababisha ukuta kupukutika chini ya dirisha.\r\n\r\n5 : Utaweza kujua mtiririko wa hatua za ujenzi wa nyumba.\r\n\r\n6 : Utaweza kujua plasta/lipu nzuri\r\n\r\n7 : Utaweza kujua sakafu imara inawekwaje.\r\n\r\n8 : Utaweza kujua jinsi ya kupaka rangi.\r\n\r\n9 : Utaweza kujua msingi imara unajengwaje.\r\n\r\n10 : Urefu wa Nyumba za kisasa unao takiwa.\r\n\r\n11 : Jinsi ya kudhibiti rangi isibanduke kwenye nyumba yako.\r\n\r\n12 : Umejua zege baya na zege zuri.\r\n\r\n13 : Jinsi ya kupiga hesabu za vifaa vya ujenzi.\r\n\r\n14 : Jinsi ya kupiga Chipping.\r\n\r\n15 : Saizi za milango.\r\n\r\n16 : Saizi za madirisha.\r\n\r\n17 : Jinsi ya kujenga nyumba kwa gharama nafuu.\r\n\r\n18 : Jinsi ya kujenga malumalu [Tiles].\r\n\r\n19 : Jinsi ya kupaua nyumba za kisasa.\r\n\r\n20 : Jinsi ya kujifunza ufundi bora na wa kisasa.\r\n\r\nPia utajifunza mambo mengine mengi ambayo yatakusaidia kujenga nyumba imara.\r\n\r\nKwakifupi kufuatilia mafunzo ya ujenzi wa nyumba kutakuepusha na gharama zisizo za lazima za merekebisho kwakuwa hakuna jambo lolote ambalo hutalijua na mimi nimefundisha kila hatua.\r\n\r\nKumbuka Nyumba bora hujengwa na Fundi bora.

Lengo la kitabu hiki ni kuhakikisha unaweza kujua jinsi nyumba bora na za kisasa zinavyo jengwa hii elimu ni muhimu sana kwa kila mtu alie fundi na asie fundi kitabu hiki kimeandokwa kwa lugha ya Kiswahili mambo yote yanayohusu ujenzi.

#Baada ya ksoma kitabu hiki utaweza kujua yafuatayo___

1 : Nyumba bora zinavyo kuwa.

2 : Aina bora ya Bati.

3 : Utaweza kujenga nyumba imara na ya kudumu.

4 : Kudhibiti unyevu unaosababisha ukuta kupukutika chini ya dirisha.

5 : Utaweza kujua mtiririko wa hatua za ujenzi wa nyumba.

6 : Utaweza kujua plasta/lipu nzuri

7 : Utaweza kujua sakafu imara inawekwaje.

8 : Utaweza kujua jinsi ya kupaka rangi.

9 : Utaweza kujua msingi imara unajengwaje.

10 : Urefu wa Nyumba za kisasa unao takiwa.

11 : Jinsi ya kudhibiti rangi isibanduke kwenye nyumba yako.

12 : Umejua zege baya na zege zuri.

13 : Jinsi ya kupiga hesabu za vifaa vya ujenzi.

14 : Jinsi ya kupiga Chipping.

15 : Saizi za milango.

16 : Saizi za madirisha.

17 : Jinsi ya kujenga nyumba kwa gharama nafuu.

18 : Jinsi ya kujenga malumalu [Tiles].

19 : Jinsi ya kupaua nyumba za kisasa.

20 : Jinsi ya kujifunza ufundi bora na wa kisasa.

Pia utajifunza mambo mengine mengi ambayo yatakusaidia kujenga nyumba imara.

Kwakifupi kufuatilia mafunzo ya ujenzi wa nyumba kutakuepusha na gharama zisizo za lazima za merekebisho kwakuwa hakuna jambo lolote ambalo hutalijua na mimi nimefundisha kila hatua.

Kumbuka Nyumba bora hujengwa na Fundi bora.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold