Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Historia Ya Wakaguru - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali
Best Seller

HISTORIA YA WAKAGURU

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 10, 2022
Product Views:
1,568
In category:
Sample

Wajue Wakagulu, mila na desturi zao. Jando na unyago. Welekwa, ikungugo na mlongo na mengine mengi.

Kupata taarifa za wakaguru au wakagulu sasa kumerahisishwarnsana. Kitabu hiki kimesheheni taarifa zote muhimu za wakagulu ambazo zinawezarnkuwa msaada sana kwa watu wanaofanya tafiti mbalimbali za makabila. Sasarntaarifa hizi zinapatikana kwenye kitabu hiki. Kuna taarifa nyingi za makabilarnmbalimbali ya hapa Tanzania na kwingineko duniani kutokana na juhudirnzilizofanywa na watu wa makabila hayo au wengine waliofanya utafiti katika kuziandika.rnKwa miaka mingi, hakukuwa na kitabu kilichoandikwa kuhusu Habari za wakaguru katikarnmaeneo yote. Baadhi ya watafiti waliandika vipande vipande tu kuhusu wakagulu.rnKitabu hiki ni cha kwanza kuwa na taarifa zote muhimu za wakagulu.

Kama zilivyo jamii nyingi za Afrika, wakagulu wana mila narndesturi mbalimbali ambazo zimekuwa dira ya Maisha ya kila siku. Kuna mambornmengi ambayo hivi sasa hayafanyiki kama ilivyokuwa miaka ya nyuma. Mwandishi warnkitabu hiki amekusanya taarifa zote hata kama kuna ambazo hazifuatwi katikarnmiaka hii. Ni muhimu kuhifadhi kumbukumbu hizi kwa ajili ya kizazi hiki narnvizazi vijavyo. Wako watu wangependa kujua Maisha ya mababu zetu wa zamanirnyalivyokuwa na harakati zao mbalimbali za kutafuta riziki zao.Kama umewahirnkusoma Habari za sultani Mangungo wa usagara, basi utamjua zaidi kwenye kitaburnhiki. Wako watawala wengi wa kutoka jamii ya wakagulu ambao wamelezwa kwenyernkitabu hiki lakini huwezi kuwakuta katika maktaba zetu na kwenye vitabu vya historiarnya nchi yetu. Kwenye kitabu hiki utawajua na wako wengine wengi tunazidirnkuwatafuta na hatimae tutakuwa na orodha ndefu ya watawala wa wakagulu .

rnrnrnrn

Je, unajua kwamba wakagulu hawakuchukuliwa kwenda utumwanirnna waarabu? Kwenye kitabu hiki utajifunza ni kwa nini wakagulu hawakuwa wahangarnwa biashara ya utumwa. Je, jando na unyago katika jamii ya wakagulu vilikuwarnvinafanyikaje? Unaamini kwamba kuna watu wanaweza kuzuia na kutengeneza mvua?rnYako mambo mengi sana ya kufurahisha na kushangaza katika kitabu hiki.rnTumekusanya taarifa za wakaguru tangu karne ya 17 na bado tunaendelearnkuzitafuta . Lakini  pia katika kitaburnhiki kuna taarifa za makabila karibu yote ya Tanzania na baadhi ya nchi zinginernza Afrika na kwingineko duniani. Kwa hiyo wakagulu na wasio wakagulu wana mengirnya kujifunza katika kitabu hiki. 

More Products On Discount
7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 9,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold