Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kurudi Kwa Yesu Na Dalili Zake Kuu - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

KURUDI KWA YESU NA DALILI ZAKE KUU

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Mar 15, 2024
Product Views:
856
In category:
Sample

KURUDI KWA YESU NA DALILI ZAKE KUU

DIBAJI

\\r\\nBiblia ina masomo mengi sana, mengine yanajulikana kama \\r\\nmasomo mepesi kwa sababu yako wazi kwa kila mtu kama vile: \\r\\nimani, upendo, neema, wokovu, ushindi juu ya dhambi, utumishi, \\r\\nna mengine mengi. Lakini yapo pia masomo yanayojulikana \\r\\nkuwa masomo magumu; si kwa sababu hayafundishiki, bali kwa \\r\\nsababu yana mitazamo ya waalimu iliyo tofauti tofauti kiasi \\r\\nkwamba, hata wasikilizaji wanachanganyikiwa wanapoyasikia, \\r\\nnayo ni kama vile: Kuja kwa Yesu mara ya pili, dhiki kuu, \\r\\nutawala wa Yesu wa miaka elfu duniani, kuumbwa kwa mbingu \\r\\nmpya na nchi mpya, karamu ya Mwana-kondoo, na kufungwa \\r\\nkwa Shetani.

Biblia ni kama somo la hisabati ambazo, usipozijua kanuni zake, \\r\\nhuwezi kupata jibu sahihi kamwe; utakuwa mtu wa kukosea kila \\r\\nsiku. Katika kitabu hiki, nimejitahidi kufundisha somo la kurudi \\r\\nkwa Yesu mara ya pili, ambalo ni somo muhimu kwa kila mkristo \\r\\naliye na tumaini la Bwana Yesu. Nimetumia kanuni muhimu \\r\\nza kusoma na kuifasiri Biblia, ili kukupatia fasiri iliyo sahihi, \\r\\nna isiyo na maswali. Namshukuru Mungu kwamba, tukisoma \\r\\nBiblia bila kufuata itikadi za kidini, ni kitabu kinachoeleweka \\r\\nvizuri sana.

Nakutakia neema ya Bwana Yesu Kristo iwe juu \\r\\nyako, unapojifunza kwa kukisoma kitabu hiki. 

More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

GetValue Recommendations
Old is Gold