Personal Financial Plan & Kuufuatilia Uwekezaji Wako
Jinsi ya Kutengeneza Your Personal Financial Plan na Kuufuatilia Uwekezaji Wako
Maamuzi Sahihi na Imara Hufanywa na Wawekezaji Wanaojitambua na Wanaotambua Vision & Missions ya Malengo Yao.
Mara Tu utakapoanza Course Hizi utaenda kujifunza
- Jinsi ya kutengeneza Personal Financial Plan Yenye Mafanikio
- Kuanza Kuufuatilia Uwekezaji wako kwa urahisi na ufanisi Muda wote Kwa kutumia tool yenye matokeo makubwa na iliyofanyiwa utafiti katika Masuala ya uwekezaji katika Hisa, Vipande na Ununuzi wa Bonds (Hatifungani)
- Kutambua Thamani Yako (Your Yealry, Monthly Net-Worth), Hali Itakayokusaidia Kujua Maeneo na Jinsi Ya Kujiongezea Thamani
Kama Umechoshwa na Usimamizi wa Fedha...
Kama Umechoka na Hujui Misingi, Mfumo na Kanuni za Kuweza Kuifuatilia Fedha, Uwekezaji wako Kwa mafanikio...
Kama unahitaji Ukuaji Bora, Imara, Chanya na Endelevu Muda Wote...
Basi...
Huu ni Ukombozi Kwako.
Take This Course na Uondoe Ile Akili Ya \"I Wish Ningejua Hili Mapema Kuhusu Uwekezaji, Kufuatilia Uwekezaji Wako na Kujua Thamani Yako\\\"
This Course Is Here to Guide You!
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza