• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
English Tenses Made Easy - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

ENGLISH TENSES MADE EASY

Ratings

Price:
5,000 Tsh.
Num added to cart:
0
Added to shop:
Oct 03, 2020
In category:
Sample

Umehangaika kuongea kiingereza kwa sababu ya 'Tenses'? Hapa kuna njia nyepesi ya kuzijua tenses kwa kujisomea mwenyewe maelekezo yaliyo katika kiswahili. Ni ngumu kujifunza kiingereza kwa kutumia lugha hiyohiyo ya kiingereza.

Watu wanayafahamu maneno mengi ya kiingereza lakini changamoto ni kutengeneza sentensi ya kiingereza iliyonyooka. Ili utengeneze sentensi nzuri sharti uzijue 'Tenses' /nyakati, Kiukweli tenses ni ngumu lakini kama wengine wameweza kwanini wewe usiweze?  Zipo namna tofauti za kujifunza tenses, namna iliyoelekezwa hapa ndio bora, imesaidia wengi. Ukiweka bidii utazijua tenses vizuri ndani ya muda mfupi na kiingereza chako kitanyooka.

Other products from this category