Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Washington Dc Tanzania - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

WASHINGTON DC : TANZANIA

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
15,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 03, 2026
Product Views:
20
In category:
Sample

Dunia Ya Ujasusi

Hii ni hadithi inayozungumzia maisha ya mtu ambaye anaandaliwa kuwa Jasusi katika idara ya CIA (Central Intelligence Agency) ambaye anaandaliwa bila yeye kujuwa. Ni kijana anayetokea mazingira ya Familia ya chini na duni kimaisha wazazi wake wakulima lakini alikuwa ni kijana mwenye akili na ufikiri mkubwa kijana ana asili yakutoka jamii ya wafugaji na wakulima. Kwenye maisha ya kawaida anaonekana si kitu na mtu ambaye yupo yupo alikuwa msikivu muongeaji kwa kiasi alipenda kusoma vitabu nakujifunza elimu yake ilikuwa niya vidato vinne peke yake. Miaka mingi baadaye anaibuka kuwa Jasusi mahiri ambaye anakuwa msaada mkubwa kwa idara ya CIA katika nchi za ukanda wa Afrika fuatilia hadithi hii kutoka kwa mwandishi.

More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold