• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Hisia Za Kujiona Duni Na Kukataliwa - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

HISIA ZA KUJIONA DUNI NA KUKATALIWA

Ratings

Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Oct 03, 2021
In category:
Sample

Kila mmoja hukabiliana uso kwa uso na kukataliwa. Ni sehemu ya maisha ya kila siku. Hatuwezi kukwepa kukataliwa kwa sababu hatuwezi kutawala namna watu wanavyo hisi kutuhusu. Wengine watatupenda tu, na wengine watatukana tu bila ya sababu yoyote. Hata hivyo, habari njema ni kwamba, tunaweza kutawala mwitikio wetu uwaje katika kukataliwa. Kukataliwa kunamfanya mtu afa kwa njaa na kiu ya kukosa upendo na kukubaliwa, hali ambayo kwa asili aliumbiwa kuipokea. Maumivu ya kihisia ya kukataliwa ni moja ya aina ya maumivu mabaya sana ambayo mtu anaweza kuyahisi.

YALIYOMO

Ukurasa

• Kutabaruku.....................................

•Shukurani..........................................

•Utangulizi................................ ….…

 

<!--[if !supportLists]-->1.      <!--[endif]-->Hisia  Za Kukataliwa Na Kujiona Duni

<!--[if !supportLists]-->2.      <!--[endif]-->Mtazamo  Wa Kibiblia Kuhusu  Kukataliwa Na Kujiona Duni

<!--[if !supportLists]-->3.      <!--[endif]-->Ufahamu Kuhusu Kukatiliwa Na Kujiona Duni.

<!--[if !supportLists]-->4.      <!--[endif]-->Sababu Za Kutojithamini Na Kujiona Duni

<!--[if !supportLists]-->5.      <!--[endif]-->Sababu Za Kukataliwa

<!--[if !supportLists]-->6.      <!--[endif]-->Dalili Za Kukataliwa Na Kujiona Duni

<!--[if !supportLists]-->7.      <!--[endif]-->Madhara Ya Kukataliwa, Kujiona Duni Na Kutojithamini.

<!--[if !supportLists]-->8.      <!--[endif]-->Uponyaji Na Kuwekwa Huru Dhidi Ya Kukataliwa

<!--[if !supportLists]-->9.      <!--[endif]-->Uponyaji Wa Kujiona Duni Na Kutojithamini

<!--[if !supportLists]-->1     Vitabu vya Rejea

<!--[if !supportLists]-->11    <!--[endif]-->Kuhusu Mwandishi

 

 


Other products from this category