 
	                    HISIA ZA HASIRA
Tafiti za kisaikolojia zinaonyesha kwamba Binadamu ndiye kiumbe ambaye hupatwa na hasira mara kwa mara, na kwa muda mrefu kuliko viumbe wengine wote. Hasira hii huchukua muda mrefu hadi kuisha, na hii hutegemeana na uwezo wa mtu wa kuzuia hasira hiyo. Hasira kama mwitikio wa kihisia yenyewe sio dhambi, lakini mara nyingi tunaruhusu hasira itupeleke kwenye tabia za dhambi. Hasira huwa na faida zaidi pale unapokuwa na uwezo wa kujizuia na kuizuia, lakini huwa na madhara zaidi pale unaposhindwa kujizuia na kuizuia, kwani huweza kusababisha madhara makubwa kiafya, kisaikolojia, na hata kimahusiano. Ni jambo moja kuwa na hasira kwa muda, lakini kuruhusu hasira ikue na kuwa chuki, inayonata mpaka roho ya uchungu inakua hilo ni suala jingine.
JINSI YA KUISHINDA HASIRA.. 53
NJIA ZA
KUITAWALA NA KUIDHIBITHI HASIRA   61
VITABU VINGINE VYA MWANDISHI                          77
Sold by: Godius Rweyongeza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
 +255 717 568 861
                            +255 717 568 861
                         Android App
 Android App IOS App
 IOS App 
                             
                                         
                                         
                                                            
                                                         
					    









































.jpg)