KIPAJI KILETACHO MAFANIKIO
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 06, 2023
Product Views:
994
Sample
Kuwa wa kwanza kusoma kitabu hiki kitakachokuwezesha kugundua kipaji chako na kukifanya chenye mafanikio zaidi.
Kitabu hiki kimetoa mbinu mbalimbali zitakazokuwezesha kugundua kipaji chako.Je ulishawahi kujiuliza kuwa una kipaji au ujuzi unaoweza kukuingizia kipato?
Waandishi ni wengi walioweza kuandika vitabu kuhusiana na kipaji cha mtu.Lakini hiki ni kitabu cha pekee kitakachoweza kukuongoza hatua hadi utakapoweza kufanikiwa kupitia kipaji chako.
Fahamu kipaji na uwezo wa kuwasilisha kipaji chako,ni vitu viwili tofauti,ila kitabu hiki kitakupa mbinu za kisasa ninazotumia.
Unaweza pia kuweka oda ya nakala ngumu ya kitabu hiki.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza