Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Hisia Za Wasiwasi - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

HISIA ZA WASIWASI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Oct 03, 2021
Product Views:
1,135
In category:
Sample

Hisia za wasiwasi ni moja ya hisia mbaya zisizofurahisha zenye nguvu sana zinazo sababisha maumivu ya nafsi na kuwatesa watu wengi. Hisia za wasiwasi au kusumbuka zinaonekana kuwa ni pigo kwa watu wengine leo katika ulimwengu wetu. Ni asili ya binadamu kujali kuhusu hali mbaya katika maisha yetu binafsi, lakini tusipokuwa waangalifu, Shetani atatusababisha kuwa na wasiwasi zaidi ya zile sababu zinazofaa. Wasiwasi ni kitu kinachosababisha ujisikie kufadhaika na kusumbuka hasa katika akili yako. Ni hisia unazozipitia ukiwa unajali sana juu ya jambo fulani ambalo hata bado halijatokea. Katika Mathayo 6: 31- 33 Yesu anatufundisha kwamba hatupaswi kuwa na wasiwasi bali tutafute kwanza ufalme wake na hayo mengine yanayotupa wasiwasi Mungu Atashughulikia. Ikiwa unakabiliana na hali ya wasiwasi, basi tafuta tiba mapema ya chanzo na mzizi wa wasiwasi wako kabla haujakupa pigo baya. Unaweza kuacha kuwa na wasiwasi kwa kufuata tiba iliyopo katika Neno la Mungu. Kitabu hiki kitakusaidia kupata uponyaji wa nafsi dhidi ya hisia za wasiwasi na kuwasaidia wengine ambao wanahitaji uponyaji wa nafsi kwa sababu ya hisia kuonewa na kukandamizwa na hisia za wasiwasi.

YALIYOMO

Ukurasa

 Kutabaruku.....................................

Shukurani..........................................

Utangulizi................................

1.      HISIA ZA WASIWASI NINI?

2.      UFAHAMU KUHUSU WASIWASI

3.      MAMBO YANAYO SABABISHA WASIWASI

4.      MADHARA YA  WASIWASI

5.      UHUSIANO WA WASIWASI NA MAGONJWA

6.      SABABU ZA KUTOKUWA NA WASIWASI

7.      JINSI YA KUKABILIANA NA KUUSHINDA WASIWASI

8.      VITABU VYA REJEA

9.      KUHUSU MWANDISHI

 

More Products On Discount
7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

10,000 Tsh.
(0.8)

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold