• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Hisia Za Mfadhaiko - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

HISIA ZA MFADHAIKO

Ratings

Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Oct 03, 2021
In category:
Sample

Tunaishi katika nyakati ambazo watu wengi wana matatizo ya msongo na mfadhaiko kwa sababu ya changamoto mbalimbali za maisha. Mfadhaiko ni kero tunayokutana nayo katika aina mbalimbali za masumbufu. Ni hali ya kunyong’onyea kihisia inayofanya mhemko au hisia za binadamu kuwa chini kiasi cha kumfanya mtu asiweze kujihusisha na shughuli ambazo huwa anazifanya. Huu ni ugonjwa wa kihisia unaoathiri namna mtu anavyojisikia, anavyofikiri na tabia yake. Katika kitabu hiki utapa nafasi ya kujifunza mambo mbalimbali kuhusu hisia za mfadhaiko kama vile vyanzo na msongo wa mawazo na mfadhaiko na madhara yake. Jinsi unavyoweza kuzuia msongo na mfadhaiko na uponyaji wake. Yohana 14: 1 Yesu akawaambia,” Msifadhaike mioyoni mwenu, mnamwamini Mungu, niaminini na mimi pia.

 

YALIYOMO

Ukurasa

• Kutabaruku.....................................

•Shukurani..........................................

•Utangulizi................................ ….…

 

1.         Hisia Za Msongo Na Mfadhaiko

2.         Ufahamu Kuhusu Msongo Na Mfadhaiko

3.         Mambo Yanayosababisha Msongo Na Mfadhaiko

4.         Jinsi Ya Kuzuia Msongo Na Mfadhaiko

5.         Uponyaji Wa  Msongo Na Mfadhaiko

6.         Vitabu Vya Rejea

7.         Kuhusu Mwandishi

Other products from this category