• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kuishi Kama Mchwa1 - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

KUISHI KAMA MCHWA

Ratings

Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Jan 16, 2021
In category:
Sample

WATU WENGI WANATAKA NJIA YA MKATO YA MFANIKIO. NJIA YA MAKATO YA MAFANIKIO NI KUFANYA KAZI KWA BIDII. MCHWA NI KIUMBE MDOGO ANAYETUFUNDISHA UMUHIMU WA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUFANIKIWA. TUNAWEZA KUFANIKIWA KWA KUFUATA KANUNI KADHAA ZA JINSI MCHWA ANAVYOFANYA KAZI.


kutoka zama za  mawe mpaka sasa zama za sayansi na teknolojia, mwanadamu ameendelea kujiletea maendeleo yake kwa kufanya kazi. Kazi ndio msingi wa maendeleo ya mwanadamu. Kufanya kazi ni sehemu ya ubinadamu wetu, huwezi kumtenganisha mwanadamu na kazi.Tangu alipoumbwa mwanadamu alifanyakazi. 


Kitabu hiki kinatufundisha kanuni muhimu za kufanya kazi na kufanikiwa kutoka kwa kiumbe mdogo anayeitwa Mchwa.

Other products from this category