• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Mambo 7 Usiyoyajua Kuhusu Dhambi - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

MAMBO 7 USIYOYAJUA KUHUSU DHAMBI

Ratings

Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
May 16, 2020
In category:
Sample

Si kwa bahati mbaya kitabu hiki kimekufikia. DONDOO KUHUSU DHAMBI ni kitabu kwa kila mwamini kukisoma. Baada ya kusoma kitabu hiki ni matumaini yangu kupitia dondoo hizi, utapata majibu ya swali hili “Kwanini yatupasa kutunza utakatifu?” Hivyo utaongeza bidii yako kumpendeza Mungu katika mwenendo wako wote.

Kuokoka ni hatua ya kwanza kuliishi kusudi lako. Dhambi ni kikwazo cha kwanza kuharibu kusudi la Mungu katika maisha yako. Basi, kitabu hiki kiwe msaada kwako kuongeza chachu ya wewe kutunza kusudi la Mungu kwa kuepuka kuchafuliwa na dhambi, Kumbuka Neno la Mungu lasema “Msishike, msionje, msiguse” [Wakolosai 2:21]

Other products from this category