• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Mbinu 16 Za Kuongeza Mauzo Kwenye Biashara Yako - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

Mbinu 16 Za Kuongeza Mauzo Kwenye Biashara Yako

Ratings

Price:
50,000 Tsh.
Num added to cart:
0
Added to shop:
Jun 08, 2020
In category:
Sample

Kiwango chako cha Mauzo kwa Siku, ndicho kitakachoamua Hali yako ya Kifedha na Ukubwa wa Biashara Yako

(Pata Ushauri wa BURE wa Kibiashara kwa Mwezi Mmoja, Pamoja na kitabu kingine cha BURE)


KATIKA KIPINDI HIKI AMBAPO BIASHARA NYINGI ZINAKUFA NA WATU WENGI KUPOTEZA MITAJI YAO…


BADO UNAYO NAFASI YA KUONGEZA MAUZO (sales) KWENYE BIASHARA YAKO… HAIJALISHI UNAFANYA BIASHARA YA AINA GANI… cha msingi ni kujua mbinu stahiki zinazofanya kazi kwa Zaidi ya 99%...


Mauzo ndio muimili wa biashara yako;

Bila mauzo hakuna biashara,

bila mauzo utakosa pesa za kulipa kodi ya nyumba, ada za watoto, vocha, chakula, na mavazi.

Na mwisho wa siku biashara yako itakufa.


Sasa, Usisubiri mpaka Biashara IFE, ndipo uanze kumtafuta MCHAWI na kuhangaika kuifufua.

Leo ni siku yako ya kuzinduka kutoka usingizini.
JISOMEE KITABU HIKI.

( Kina kurasa zaidi ya 130 )


P.S: Endapo utajipatia kitabu hiki ndani ya Saa 24 za Leo, basi utapata na Zawadi nyingine ya kitabu cha Bure kabisa, kitakachoendelea kukunoa zaidi. (Kitabu chenye Thamani ya shilingi 5000+).

Lakini pia UTAPATA USHAURI WA BURE WA KIBIASHARA KWA MWEZI MMOJA baada ya kujisomea hiki kitabu. Ushauri ambao wengine hulipia Zaidi ya Tsh. 50,000/= [hivyo, HAUNA CHA KUPOTEZA KABISA]


BOFYA KITUFE CHA "BUY NOW" HAPO JUU - KUJIPATIA KITABU CHAKO SAHIVI
Other products from this category