Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Hisia Za Uchungu - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

HISIA ZA UCHUNGU

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Oct 03, 2021
Product Views:
1,440
In category:
Sample

Uchungu ni moja ya hisia ya kawaida na yenye nguvu ndani yetu ambayo hutokea wakati tunahisi kitu fulani kimechukuliwa kutoka kwetu na hatuna nguvu ya kukirejesha. Katika kujaribu kujikumbusha wenyewe na wengine kwa kutotendewa haki tulikopitia huwa tunabaki tumeshikilia maumivu tukiwa na matumaini ya kwamba kuna mtu atatuokoa na kuturejeshea tulichopoteza. Kwa bahati mbaya, uchungu unafanya tu hisia za kuonewa na kudhulumiwa haki yetu kukua. Haufanyi chochote katika kuponya majeraha yetu yaliyosababishwa na kuonewa au kudhulumiwa haki. Kwa kweli, uchungu unasababisha jeraha kuwa hatarini kugeuka na kuambukizwa na hasira.

YALIYOMO

Ukurasa

• Kutabaruku.....................................

•Shukurani..........................................

•Utangulizi................................ ….…

 

1.         HISIA ZA UCHUNGU

2.         BIBLIA ISEMAVYO KUHUSU UCHUNGU

3.         SHINA LA UCHUNGU

4.         SABABU NA DALILI ZA UCHUNGU

5.         MADHARA YA UCHUNGU

6.         UFAHAMU KUHUSU UCHUNGU

7.         KUPONYWA NA KUWEKWA HURU NA UCHUNGU

8.         VITABU VYA REJEA

9.         KUHUSU MWANDISHI

More Products On Discount
7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

10,000 Tsh.
(0.8)

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold