• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Akili Ya Diamond - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

AKILI YA DIAMOND

Ratings

Price:
6,000 Tsh.
Num added to cart:
0
Added to shop:
Aug 20, 2020
In category:
Sample

Katika pitapita zangu hapa mtaani, juzi niliwasikia watu wanasema kwamba kama wangekuwa na akili kama ile ya Diamond aliyonayo kwenye kuimba, basi wangeweza kufanya mambo makubwa. Moyoni mwangu nikawa nasema, yaani, laiti mungejua kuwa mna uwezo kama huo na zaidi pengine msingesema hivyo, badala yake mngeenda kuutumia huo uwezo. Hivyo, leo hii nimeona nikushirikishe kiufupi kuhusu hii Akili Ya Diamond. Sasa labda kabla hujaanza kusoma kurasa za ndani kabisa, nikuulize swali. Je, ungependa kuwa na Akili Ya Diamond au hutaki kabisa? Naomba uandike jibu lako pembeni. Mwisho mwa kitabu hiki nimerudia kuuliza swali hilihili. Nitapenda ulinganishe majibu yako yote mawili. Hili ambalo unatoa hapa na hilo ambalo utatoa mwishoni mwa kitabu hiki. Godius Rweyongeza Morogoro-Tanzania

katika kitabu hiki hapa unaenda kukutan na vitu 50 ambavyo ulikuwa hujui kuhusu Diamond Platnumz. vitu hivi vya kipekee tunaweza kuviweka kwenye vipengele vikubwa vitatu.KIPAJI. UBUNIFU NA MAFANIKIO.

je, vitu hivi 50 ni vipi? basi ebu ngoja tusafiri kwa pamoja katika kurasa za kitabu hiki hapa

Other products from this category