MUONGOZO WA MAOMBI YA KIOMBEA NDOA
Price:
3,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Oct 05, 2022
Product Views:
1,637
Sample
Muongozo Wa Maombi Ya Kuombea Ndoa
Kitabu hiki nimekiandika kimaalumu kabisa kwaajili ya uponyaji wa ndoa nyingi zinazokufa kwa kukosa msaada wa Mungu. Mungu alipoanzisha ndoa aliweka utaratibu wa wanandoa kumtegemea yeye ili ndoa zao ziwe salama. Na kwasababu hiyo hakutakuwa na ndoa nzuri kama haitakuwa na msaada wa Mungu. Kitabu hiki cha Muongozo wa maombi ya kuombea ndoa, kime elekeza muongozo maalumu wa maombi kwaajili ya kila ndoa. Kimeonesha maeneo muhimu ya kuombea, sababu za kwanini tuombee ndoa, maandiko ya kusimamia wakati wa maombi, na namna ya kufanya maombi ya kuombea ndoa. Kisome taratibu na kuuishi muongozo wake ili uwe na maisha ya ushindi katika ndoa yako.