Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Fursa Ndani Ya Tabia Yako - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

FURSA NDANI YA TABIA YAKO

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
8,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 02, 2026
Product Views:
3
In category:
Sample

Ijue michongo ya hela iliyojifucha ndani ya hobby zako

Kuna siku nilikuwa nazungumza na rafiki yangu mmoja ambaye alikuwa na tabia ya kupenda kuchambua masuala ya mpira wa miguu. 

Siku moja nikamwambia unajua kwamba hiki kitu unachokifanya kwa mazoea kinaweza kuwa fursa ya kukuingizia kipato?

Nilitaka aache kuangalia uchambuzi wake wa mpira kama burudani tu na kujionyesha anajua na aanze kuuona kama ni fursa inayoweza kuwa sehemu ya kupata kipato.

Baada ya muda kidogo nikamuona akiwa redioni na anafanya kile anachokipenda, anachambua mpira.

Kuna somo kubwa hapa!

Wakati mwingine tunahangaika kutafuta fursa, huku tukipuuza vitu ambavyo tayari tunavifanya vizuri, au huwenda haujui kabisa kwamba tabia yako fulani inaweza kuwa fursa kwako.

Unaweza kuwa na tabia ya kuzungumza, kuandika, kushauri, kuchunguza mambo au kuunganisha watu.

Vyote hivi vinaweza kuwa na thamani sokoni.


So kwenye tabia yako kunaweza kuwa chimbo la fedha ambalo umelikalia kwa muda mrefu bila kulichimbua.

Hiki kitabu kitakusaidia sana.

More Products On Discount
More Products From This Seller
10,000 Tsh.
(1)

Sold by: Emmanuel Minga

9,999 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

7,000 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

4,999 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

7,000 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

9,999 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

9,999 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

7,000 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

7,000 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

7,000 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

7,000 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

10,000 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

7,000 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

7,500 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

7,000 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold
10,000 Tsh.

Sold by: JEGI NIMUKA BASSU

10,000 Tsh.
(2)

Sold by: MERINA DUGO

3,000 Tsh.

Sold by: Lameck Hulilo

5,000 Tsh.

Sold by: Prophet Pd John