JINSI YA KUISHI NA MWANAUME
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 11, 2026
Product Views:
12
Sample
Ukimfahamu utaungana naye na usipomfahamu utagonbana naye
Kuishi na mwanaume kunahitaji zaidi ya kumpenda, kunahitaji kumwelewa.
Kitabu hiki kinakusaidia kuelewa namna mwanaume anavyofikiri, anavyohisi, anavyowasiliana na anavyokabiliana na changamoto.
Utajifunza kutambua sababu za tabia zake, makosa ya kuepuka, namna ya kuwasiliana kwa hekima, kushughulikia migogoro na kuchukua hatua zinazojenga uhusiano.
Hiki kitabu ni muongozo wa kukusaidia kupata maarifa ya kuishi kwa amani, ustawi na uelewano na mwanaume.
Mwanaume sio fumbo lisiloweza kueleweka, jifunze kumjua zaidi ya unavyompenda
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza