• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Hisia Za Uchungu - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

HISIA ZA UCHUNGU

Ratings

Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Oct 03, 2021
In category:
Sample

Uchungu ni moja ya hisia ya kawaida na yenye nguvu ndani yetu ambayo hutokea wakati tunahisi kitu fulani kimechukuliwa kutoka kwetu na hatuna nguvu ya kukirejesha. Katika kujaribu kujikumbusha wenyewe na wengine kwa kutotendewa haki tulikopitia huwa tunabaki tumeshikilia maumivu tukiwa na matumaini ya kwamba kuna mtu atatuokoa na kuturejeshea tulichopoteza. Kwa bahati mbaya, uchungu unafanya tu hisia za kuonewa na kudhulumiwa haki yetu kukua. Haufanyi chochote katika kuponya majeraha yetu yaliyosababishwa na kuonewa au kudhulumiwa haki. Kwa kweli, uchungu unasababisha jeraha kuwa hatarini kugeuka na kuambukizwa na hasira.

YALIYOMO

Ukurasa

• Kutabaruku.....................................

•Shukurani..........................................

•Utangulizi................................ ….…

 

<!--[if !supportLists]-->1.         <!--[endif]-->HISIA ZA UCHUNGU

<!--[if !supportLists]-->2.         <!--[endif]-->BIBLIA ISEMAVYO KUHUSU UCHUNGU

<!--[if !supportLists]-->3.         <!--[endif]-->SHINA LA UCHUNGU

<!--[if !supportLists]-->4.         <!--[endif]-->SABABU NA DALILI ZA UCHUNGU

<!--[if !supportLists]-->5.         <!--[endif]-->MADHARA YA UCHUNGU

<!--[if !supportLists]-->6.         <!--[endif]-->UFAHAMU KUHUSU UCHUNGU

<!--[if !supportLists]-->7.         <!--[endif]-->KUPONYWA NA KUWEKWA HURU NA UCHUNGU

<!--[if !supportLists]-->8.         <!--[endif]-->VITABU VYA REJEA

<!--[if !supportLists]-->9.         <!--[endif]-->KUHUSU MWANDISHI

Other products from this category