• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Msingi Wa Biashara Yenye Nguvu - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

MSINGI WA BIASHARA YENYE NGUVU

Ratings

Price:
7,500 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Oct 26, 2020
In category:
Sample

Wezesha BIASHARA yako, ufanikiwe katika ulimwengu wa ushindani

Katika ulimwengu wa biashara hakuhitaji nguvu za mwili sana ila ufahamu na uelewa, na ufahamu huja kwa kujifunza. Namna pekee ya kuliondoa tatizo in kwa kulitatua.

Katika kitabu hiki utajifunza njia mbalimbali za kuiwezesha biashara yako ,namna ya kuanza hadi kustawi na kufanikiwa zaidi katika solo. 

Utajifunza mahitaji ya wateja lakini pia mahitaji ya biashara yako ili izidi kustawi.

Biashara yako inahitaji juhudi zako, karibu.

Other products from this category