• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Yafahamu Mawazo 60 Ya Biashara - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

YAFAHAMU MAWAZO 60 YA BIASHARA

Ratings

Price:
2,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Sep 05, 2021
In category:
Sample

Matajiri wengi hufanya vitu vikuu viwili. Moja, UWEKEZAJI Mbili, Uanzishaji wa Biashara. You are the next.... RICHEST MAN IN THE COUNTRY.... just buy and read this little guide!.

Kuna hali mbili huwakuta watu duniani kila siku.


Hali ya kwanza ni kuwa na pesa lakini, kutojua biashara gani uifanye.


Na hali ya pili ni kuwa na wazo la biashara ya kuifanya lakini, ukakosa pesa za kuianzisha.


Kumbuka kuwa ubunifu ni njia.


Tafadhali naomba nisikupotezee muda wako. Kwa sababu muda ni mali, na mali ni muda.


Nunua kitabu hiki, upate kufahamu mawazo sitini na zaidi ya biashara unazoweza kuanzisha.


Matajiri wengi hufanya vitu vikuu viwili.

Moja, UWEKEZAJI

Mbili, Uanzishaji wa Biashara.


You are the next.... RICHEST MAN IN THE COUNTRY.... just buy and read this little guide!.

Other products from this category