• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Gundua Kipaji Chako - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

GUNDUA KIPAJI CHAKO

Ratings

Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Jul 31, 2020
In category:
Sample

Jinsi Unavyoweza Kugundua Kipaji Ulicho Nacho Na Kuleta Tofauti Katika Maisha Yako.

“Tumezaliwa  tukiwa tumejazwa na kujaa na tupo hapa kuachilia na kubariki wengine kwa vipawa na Vipaji vyetu tulivyopewa  na  kujaliwa na Mungu

 

Moja ya ugunduzi wa muhimu ambao unapaswa kuufanya katika maisha haya ni kugundua “vipaji” ambavyo Mungu ameweka ndani yako. Kila mtu ana kipaji fulani kilichojificha ndani yake kinachosubiri kugunduliwa.

Katika kitabu Hiki  Mwandishi  anakufundisha  namna ya  kupata maarifa ya jinsi unavyoweza kugundua na kufichua kipaji chako. Lakini pia utaelewa kwanini muda wote kipaji chako kilikuwa kimejificha.

 Baada ya kusoma kitabu hiki ni dhahiri maisha yako yatapiga hatua katika kiwango kingine na utaanza kutumia vipaji vyako kwa kumtukuza Mungu na kuwabariki wengine pia kulitimiza kusudi la maisha yako hapa duniani.

Other products from this category