
Barua Ya Wazi Kwa Wazazi Na Walezi Wa Watoto
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 31, 2020
Product Views:
972
Sample
Taifa la kesho linatengenezwa kuanzia nyumbani
Ndugu wazazi:
Unaweza kumpenda mtoto anayepata A darasani na
kumchukia anayepata C au F. Lakini anayepata A darasani inawezekana asipate A
maishani.
Tujifunze kupenda watoto wote na kuwajali watoto wote kwa usawa.